Muhtasari
•Jumapili, rais William Ruto alisema muswada wa mpango wa nyumba ukipitishwa bungeni utakuwa sheria na wafanyikazi watahitajika kuchangia.
•Kulingana na rais Ruto, mfanyikazi atatoa 3% ya mshahara halisi naye mwajiri wake ataongeza asilimia 3.