In Summary

• Wikendi iliyopita, msanii huyo aliweka rekodi nyingine ya kuwa msanii mwafrika wa kwanza kujaza uwanja wa watu 80k nchini Uingereza.

• Burna Boy ndiye msanii pekee wa Afrika ambaye amewahi kutumbuiza kwenye tuzo za BET, BRIT, Grammy na  Billboard.
Kwa nini msanii Burna Boy anaitwa African Giant?
View Comments