21 June 2023 1 Min Read
Maelezo muhimu kuhusu mbio za Safari Rally za mwaka huu
Mbio hizo zitafanyika kuanzia Alhamisi Juni 22 hadi Jumapili Juni 25 kutoka Kasarani Nairobi hadi mbuga ya wanyama Hell's Gate mjini Naivasha.
In Summary
• Mbio hizo zitachukua umbali wa kilomita 1192.47.