Maelezo muhimu kuhusu mbio za Safari Rally za mwaka huu

Mbio hizo zitafanyika kuanzia Alhamisi Juni 22 hadi Jumapili Juni 25 kutoka Kasarani Nairobi hadi mbuga ya wanyama Hell's Gate mjini Naivasha.

Muhtasari

• Mbio hizo zitachukua umbali wa kilomita 1192.47.

Maelezo muhimu kuhusu mbio za Safari Rally.
Maelezo muhimu kuhusu mbio za Safari Rally.
Image: HILLARY BETT