In Summary

•Mshambulizi Lionel Messi sasa ameichezea klabu yake mpya Inter Miami mechi mbili tangu ajiunge nayo mwezi uliopita.

•Muargentina huyo mwenye umri wa miaka 36 tayari ameifungia klabu yake mpya mabao matatu na kusaidia bao moja.

Mastaa waliohudhurua mechi za kwanza za Messi MLS
Image: HILLARY BETT
Mastaa waliohudhuria mechi za kwanza za Messi MLS
Image: HILLARY BETT
View Comments