04 March 2024 1 Min Read
Mfahamu Mr Ibu, marehemu muigizaji wa Nollywood
Kutoka kuigiza filamu zaidi ya 200 hadi kutalikiwa na mkewe ambaye alichukua karibia mali yake yote na kumuacha hoi.
In Summary
• Mr Ibu alipata umaarufu mwaka 2004 kutokana na filamu yake ya 'Mr Ibu'
• Mwaka 2020, aliingia studioni na kutoa vibao viwili.