Mfahamu Mr Ibu, marehemu muigizaji wa Nollywood

Kutoka kuigiza filamu zaidi ya 200 hadi kutalikiwa na mkewe ambaye alichukua karibia mali yake yote na kumuacha hoi.