17 April 2024 1 Min Read
Wanasoka wa chini ya miaka 23 ambao thamani yao imeongezeka mara dufu miezi 6 iliyopita
Katika ligi ya EPL, Cole Palmer wa Chelsea ameongeza thamani yake kutoka €47m hadi €117m ndani ya miezi sita huku Kobi Mainoo wa Man Utd akiongezeka kwa thamani kutoka €3m hadi €53m.
In Summary
• Wachezaji wengine ambao thamani yao imeongezeka mara dufu ni pamoja na Jeremy Doku wa Man City,Endrick wa Real Madrid aliyeko mkopo Palmeiras miongoni mwa wengine.