Wanasoka wa chini ya miaka 23 ambao thamani yao imeongezeka mara dufu miezi 6 iliyopita

Katika ligi ya EPL, Cole Palmer wa Chelsea ameongeza thamani yake kutoka €47m hadi €117m ndani ya miezi sita huku Kobi Mainoo wa Man Utd akiongezeka kwa thamani kutoka €3m hadi €53m.