10 July 2024 1 Min Read
EURO 2024: Unachohitaji kujua kuhusu mechi ya Uingereza vs Uholanzi kwenye nusu fainali
Uholanzi ilifuzu kwa fainali yao ya mwisho mwaka 1988 na kwenda mbele kuibuka mabingwa huku Enfland wakifika fainali na kupoteza mwaka 2021.
In Summary
• Cody Gakpo wa Uholanzi ndiye mchezaji mfungaji bora wa mashindano hayo ambaye amesalia kwenye kipute hicho