In Summary
• Seli za plasma hubadilika kuwa seli za saratani kiasi cha kutoweza kudhibitiwa.
• Seli za saratani huziba seli zinazopambana na maambukizi ya maradhi mbali mbali.
• Ugonjwa huu hutokea mara nyingi kwa wanaume wa asili ya Kiafrika wenye zaidi ya miaka 45.