In Summary

• Mwanaume huyo alipatikana akijamiiana na ng'ombe na kabla ya kufikishwa katika mahakama hiyo.

Mwanaume aliyeshtakiwa kwa kufanya mapenzi na ng'ombe
Image: Screengrab//Nation//YouTube

Mwanaume mmoja ameshtakiwa katika mahakama ya Eldoret baada ya kutuhumiwa kujamiiana na ng’ombe.

Kulingana na taarifa hizo zilizofichuliwa na ukurasa wa YouTube wa Nation, mwanaume huyo alifikishwa mahakamani baada ya kupatikana akishiriki mapenzi na ng’ombe.

Inadaiwa alikana mashtaka dhidi yake na kuachiliwa kwa dhamana ya laki mbili pesa za Kenya.

Baada ya kuachiliwa kwa dhamana hiyo, mwanaume huyo alitaarifiwa kwamba kesi dhidi yake kumdhulumu ng’ombe itatajwa tarehe 7 mwezi Novemba katika mahakama hiyo.

Taarifa zaidi zinafuata...

View Comments