In Summary
  •  Polisi hata hivyo wamekuwa wakiwaruhusu wafuasi wa chama tawala NRM kukongamana bila kuwatawanya 
  • Mamia ya watu wamejeruhiwa katika makabiliano ya wafuasi wa upinzani na polisi tangu kukamatwa kwa Bobi Wine 

 

Bobi Wine aaaaaaaaaaaaa

Kukamatwa na kuzuiliwa kwa  mgombeaji wa urais wa Uganda  Robert Kyagulanyi,  ni ishara ya kukandamizwa kwa upinzani nchini humo ,shirika la   Human Rights Watch  limesema .uchaguzi nchii uganda utandaliwa januari mwakani .

 Kupitia taarifa siku ya ijumma HRW  limeitaka mamlaka nchini humo kumuachilia  Kyagulanyi  mara moja na bila masharti  na kuheshimu haki za binadamu za wananchi

Kyagulanyi,  anayaefahamika  kwa jina la usanii kama   Bobi Wine  alikamatwa siku ya jumatno katika mkutano wa kampeni wilayani Luuka .

 Kukamatwa kwake kumedaia kutokana na hatua yake yake kukiuka kanuni za covid 19 kwa kuruhusu watu wengi kuliko inavyokubalika kukongamana katika sehemu moja .Maandamano yalioafutia yamesababisha kuuawa kwa watu 16 lakini duru nchini humo zinasema idadi hiyo ni ya juu kuliko inavyotangazwa .

 “ Kuongezeka kwa ghasia na machafuko kabla ya uchaguzi sio ishara nzuri’ amesema   mtafiti wa Afrika  Oryem Nyeko

 Katika wiki mbili  zilizopita  ,maamlaka zimewakamata viongozi wa upinzani ,wanahabari na kuwatawanya wafuasi wa upinzani  kwa madai ya kujikusanya kinyume na kanuni za Covi 19

 

View Comments