Watu 1,211 wamepatikaa na corona baada ya ampuli 9,304 kupimwa katika saa 24 zilizopita na kufikisha jumla ya visa vya ugonjwa huo nchini kuwa 76,404 na jumla ya sampuli zilizopimwa zikifika 833,004 .
Kutoka visa hivyo 1,169 ni wakenya ilhali 42 ni raia wa kigeni .wagonjwa 722 ni wanaume ilhali 489 ni wanawake huku mgonjwa wa umri wa chini akiwa mtoto wa mwezi mmoja na wa umri wa juu akiwa na miaka 95
Leo watu 368 wamepona na kufikisha 51,352 idadi ya watu waliopona Corona hadi kufikia sasa