In Summary
  •   Katika kesi hiyo gavana aliyetimuliwa madarakani Mike Sonko  alikuwa amepinga  kuondolewa kwake afisini akisema utaratibu ufaao haukufuatwa .
  •  Maseneta waliidhinisha uamuzi wa waakilishi w  kaunti kupiga kura ya kumuondoa Sonko afisini  Disemba tarehe 17 
Mike Sonko

Jaji  Mrima siku ya jumatatu amefutilia mbali arifa ya gazeti rasmi la serikali iliyotolewa na tume ya uchaguzi kutangaza uchaguzi mdogo wa ugavana Nairobi  mwezi ujao .

  Katika kesi hiyo gavana aliyetimuliwa madarakani Mike Sonko  alikuwa amepinga  kuondolewa kwake afisini akisema utaratibu ufaao haukufuatwa .

 Maseneta waliidhinisha uamuzi wa waakilishi w  kaunti kupiga kura ya kumuondoa Sonko afisini  Disemba tarehe 17  .

 Sonko alishtumiwa kwa kukiuka katiba ,kutumia vibaya maamlaka ya afisi yake  na ukiukaji wa madili ya utendakazi

   

View Comments