In Summary
  •  Afisa huyo wa cheo cha Major  anahudumu  katika 81 Tank Battalion  kwenye  kambi ya jeshi ya  Lanet  na alipatikana katika choo cheke baada ya kujikata shingoni .
  •  Alitumia kisu cha jikoni  kujiua . Alikuwa amevalia sare rasi ya kazi  na alipatikana amelowa damu yake baada ya tukio  hilo kufanyika siku ya jumatno usiku

Polisi wamejiunga na jeshi kuchunguza tukio  ambapo afisa mmoa wa  KDF  amejiua katika nyumba yake  Lanet ,Nakuru .

 Afisa huyo wa cheo cha Major  anahudumu  katika 81 Tank Battalion  kwenye  kambi ya jeshi ya  Lanet  na alipatikana katika choo cheke baada ya kujikata shingoni .

 Alitumia kisu cha jikoni  kujiua . Alikuwa amevalia sare rasi ya kazi  na alipatikana amelowa damu yake baada ya tukio  hilo kufanyika siku ya jumatno usiku

  Polisi wa jeshi waliwaarifu polisi wa kawaida kuhusu tukio hilo  .  Kilichosababisha afisa huyo wa KDF kujiua hakijajulikana na mwili wake umepelekwa katika hifadhi ya mati katika eneo hilo kufanyiwa uchunguzi .

 Visa vya maafisa wanaohudumu katika idara za usalama na ulinzi vimezidi  . maafisa wake katika idara hizo hukumbwa na msonono kwa sababu ya kazi yao  .kwa wanajeshi ,kuna vituo maalum katika kami zao ili kuwapa usaidizi wa kisaikolojia .

 

View Comments