In Summary
• Jopo la majaji Joel Ngugi, George Odunga, Jarius Ngaah, Janet Mulwa na Chacha Mwita wamepangiwa kutoa uamuzi wao kuhusu maombi saba yanayopinga mchakato wa BBI.
• Muswada wa marekebisho ya katiba maarufu tayari umeidhinishwa na bunge la kitaifa na seneti na unatarajiwa kuwasilishwa kwa rais Uhuru Kenyatta atakaye ukabidhi kwa IEBC ili kura ya maamuzi iandaliwe.