In Summary
•Mwanasheria mkuu Kihara Kariuki alitaka mahakama kusitisha kwa muda utekelezwaji wa maamuzi yaliyotolewa dhidi ya mchakato wa BBI
• Mahakama imeamuru kuwa wasilisho hilo linafaa kushughulikiwa kwa dharura huku ikielekeza wahusika kuwasilisha mawasilisho yaliyoandikwa kabla ya mwisho wa siku ya Alhamisi