In Summary
• Washambuliaji watano kutoka upande wa Samburu na mfugaji mmoja wa Turkana waliuawa wakati wa makabiliano ya risasi.
• Idara ya polisi ilitoa wito kwa jamii na eneo hilo za wafugaji katika kuheshimu maeneo ya malisho ya kila mmoja ili kuzuia makabiliano zaidi.