In Summary

• Abdulswamad Nassir ameapishwa rasmi kuwa gavana wa Mombasa.

Abdulswamad Nassir akiapishwa kuwa gavana wa Mombasa. 15/9/2022.
Image: ONYANGO OCHIENG'
Abdulswamad Nassir ameapishwa rasmi kuwa gavana wa Mombasa kuchukuwa nafasi ya Hassan Joho ambaye muda wake wa kuhudumu umekwisha.
Naibu Gavana wa Mombasa Francis Foleni Thoya ( Kushoto) na Gavana Abdulswamad Nassir
Image: ONYANGO OCHIENG'
Nassir sasa ni gavana wa pili wa kaunti ya Mombasa, gavana wa kwanza Hassan Joho alihudumu kwa kipindi cha miaka 10. 
View Comments