Muhtasari
• Abdulswamad Nassir ameapishwa rasmi kuwa gavana wa Mombasa.
Abdulswamad Nassir ameapishwa rasmi kuwa gavana wa Mombasa kuchukuwa nafasi ya Hassan Joho ambaye muda wake wa kuhudumu umekwisha.
Nassir sasa ni gavana wa pili wa kaunti ya Mombasa, gavana wa kwanza Hassan Joho alihudumu kwa kipindi cha miaka 10.