In Summary

• Chopa ya KDF imeanguka katika eneo la Kaben, Marakwet Mashariki, na idadi isiyojulikana ya watu

Image: BBC NEWS
 Chopa ya KDF imeanguka katika eneo la Kaben, Marakwet Mashariki, na idadi isiyojulikana ya watu. Maafisa wanasema kuna majeruhi. Eneo hilo limezingirwa. Tutakujuza habari zaidi....
View Comments