Habari za hivi punde, ndege ya KDF yaanguka na idadi ya watu isiojulikana

Muhtasari

• Chopa ya KDF imeanguka katika eneo la Kaben, Marakwet Mashariki, na idadi isiyojulikana ya watu

Image: BBC NEWS

 Chopa ya KDF imeanguka katika eneo la Kaben, Marakwet Mashariki, na idadi isiyojulikana ya watu. Maafisa wanasema kuna majeruhi. Eneo hilo limezingirwa. Tutakujuza habari zaidi....