Tazama baadhi ya biashara zinazofaa nyakati za mvua

Mvua kubwa inaendelea kunyesha kote nchini na kusababisha athari kwa biashara.

Muhtasari

•Licha ya biashara nyingi kuathiriwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha, kunazo biashara zinazoonekana kuvuma msimu wa mvua.

zinazofaa nyakati za mvua.
Biashara zinazofaa nyakati za mvua.
Image: HILLARY BETT