Baadhi ya mabwawa ya Kenya yaliyo katika hatari ya mafuriko

Bwawa la Old Kijabe katika eneo la Mai Mahiu liliporomoka hivi majuzi na kuua zaidi ya watu 40 na kuharibu mali nyingi.

Muhtasari

•Mamlaka ya Rasilimali za maji imeonya kuwa mabwawa mengi nchini Kenya yamejaa maji na hivyo yako katika hatari ya kufurika.

ya mabwawa ya Kenya yaliyo katika hatari ya mafuriko.
Baadhi ya mabwawa ya Kenya yaliyo katika hatari ya mafuriko.
Image: WILLIAM WANYOIKE