- dadake.ronaldo
- ronaldo sister
- ronaldo sister 2

Dadake Cristiano Ronaldo bi Katia Aveiro alikasirika na kumfokea mholanzi na mchezaji wa Liverpool, Virgil van Dijk.

Hii ni kufuatia maneno ya utani yaliyotolewa na mlinzi huyo jumatatu jioni kuhusu mshambulizi huyo wa Juventus, katika sherehe za kumtuza mwanasoka bora duniani, al maarufu Ballon d’Or.

Van Dijk alimaliza wa pili, nyuma yake Lionel Messi ambaye alipokea tuzo hilo kwa mara ya sita sasa huku Ronaldo ambaye ameshinda tuzo hiyo mara tano akimaliza wa tatu.

Hata hivyo kiungo huyo wa zamani wa Real Madrid hakuhudhuria sherehe hizo na badala yake alikuwa mjini Milan, Italia katika sherehe za 2019 Gran Gala del Calcio ambapo alituzwa kama mchezaji bora zaidi msimu uliopita katika ligi kuu ya Italia.

Mwanahabari mmoja alimuuliza Van Dijk iwapo kukosekana kwa Ronaldo kunamaanisha kuwa upinzani wa tuzo la Ballon d’Or umesalia kati yake na Messi pekee.

Kwa utani, Van Dijk aliuliza, 'Je, alikuwa mpinzani wakati huo?'

Jibu hilo lilimkwaza sana nduguye Ronaldo, Katia Aveiro ambaye alichapisha ujumbe mrefu kwenye mtandao wake wa Instagram, akimkemea difenda huyo kwa utovu wa heshima.
Bi Aveiro alimkumbusha kuwa Ronaldo ameshinda mataji mengi Uingereza na bado Van Dijk hajashinda lolote. Isitoshe alimkumbusha kuwa Ronaldo ndiye aliyeibuka mshindi wakati wawili hao walipopatana katika fainali za UEFA, mwaka wa 2018.
Soma ujumbe wake;
‘I think there are people living completely frustrated !!! And unrealistic… such humility!’ Katia wrote. ‘It is well known that Ronaldo will not win tonight’s prize. Although I have won important collective titles … but this is another conversation and that up ahead we will see where the truth about football will come !!! ‘Now, dear Virgil, where you are going, Cristiano Ronaldo has gone and has come a thousand times.

Aliongeza,

‘You see, my dear Virgil, that Cristiano Ronaldo was a tri-champion in the country where you have been playing for years and you still haven’t got your hand in the can. ‘Cristiano Ronaldo was even the best player and best scorer in the country where you play Virgil. By the way, I was even younger than you.

‘Then, dear Virgil, Cristiano Ronaldo went to other places and became the greatest player in the history of a clubezito. ‘Real Madrid, tell you something Virgil? Maybe so, because this club, with this Cristiano guy, even beat you in the Champions League final. Of these, Ronaldo already has five, Virgil.

Alimalizia kwa kumpa maneno makali,

And that fellow Ronaldo and team-mates, with the corners on his chest, crushed your “orange” in a final. Was it hard, Virgil? We have pity. And, dear Virgil, In one of the least successful times of his career, Cristiano Ronaldo has won even more titles than you. Awesome, isn’t it? ‘Now Virgil will win titles from those who really count and then we’ll talk. When you have a handful of them, the really important ones, you might be able to sit at the table with Cristiano. Or as they say in our land, it grows and appears! ‘It’s for me Cristiano you are and you will always be the best player in the world !!! And who does not like to put it on the wheel of the plate !!! (as they say in our land, small for many) but where came the best ever.’