In Summary
- Mwanamke ukijipata kama mlezi wa pekee wa mwanao jua utakavyomudu hali
- Unafaa kufahamu kwamba wanao wanakutegema wewe kama baba na mama
- Hufai kuwazuia wanao kutangamana pia na mitazamo ya nje hasa wa jinsia ya kiume
- Jipange mapema kadri ya uwezo wako kwa sababu uko pekee yako