Hivi ndivyo unavyofaa kujipanga kama single Mother+Podi ya Yusuf Juma

Muhtasari
  • Mwanamke ukijipata kama mlezi wa pekee wa mwanao jua utakavyomudu hali 
  • Unafaa kufahamu kwamba wanao wanakutegema wewe kama baba na mama 
  • Hufai kuwazuia wanao kutangamana pia na mitazamo ya nje hasa wa jinsia ya kiume 
  • Jipange mapema kadri ya uwezo wako kwa sababu uko pekee yako 

 

 

 Wakati mwingi mwanamke hujipata akiwa mlezi wa pekee wa watoto wake .Kunao ambao huamua kuanzia mwanzo kwamba wanataka kuwa Single Mothers   ilhali kuna wanaojipata katika hizo bila kupanga .katika podcast hii tunajadili na kukueleza jinsi unavyofaa kujipanga na kujitayarisha ukijipata kuwa mlezi wa pekee wa watoto wako 

Iwapo umejipata wewe ndio mlezi wa pekee wa wanao ,basi fahamu jinsi unavyofaa kujipanga .Endapo unajitayarisha kuwa single mothe basi mwongozo huu ni wako