Ndoa za 'kujaribu'

Ndoa zinazoanza kimzaha ndizo zinazokatika kighafla fahamu mengi tunayokosea#PodiyaYusufJuma

Kama si mimba wengi hawangekuwa katika ndoa

Muhtasari
  • Iwapo hutaambiwa kutafuta nyumba kubwa ili muanze kuishi pamoja ,basi utapata mimba kisha iwe ni lazima muishi pamoja mumlee mtoto wenu
  • Katika podi hii tunakupa uhondo wote wa kinachofanyika na kizazi hiki kuhusu ndoa na mahusiano.
Podi ya Yusuf Juma
Image: Yusuf Juma

Katika enzi hii ,yamkini ndoa hazina mpango wala mpangilio na zinafanyika baada ya hali kuwalazimu wahusika .Iwapo hutaambiwa kutafuta nyumba kubwa ili muanze kuishi pamoja ,basi utapata mimba kisha iwe ni lazima muishi pamoja mumlee mtoto wenu .

Katika enzi hii ,yamkini ndoa hazina mpango wala mpangilio na zinafanyika baada ya hali kuwalazimu wahusika .Iwapo hutaambiwa kutafuta nyumba kubwa ili muanze kuishi pamoja ,basi utapata mimba kisha iwe ni lazima muishi pamoja mumlee mtoto wenu . Wengi wanaanza maisha ya ndoa katika hali kama hizi na baadaye panazuka mengi matatizo na kusababisha talaka nyingi tu . Je,Kuna tatizo gani katika kizazi hiki ambalo linafanya kuwa vigumu kwa ndoa za wengi kudumu?Katika podi hii tunakupa uhondo wote wa kinachofanyika na kizazi hiki kuhusu ndoa na mahusiano.

 

Wengi wanaanza maisha ya ndoa katika hali kama hizi na baadaye panazuka mengi matatizo na kusababisha talaka nyingi tu . Je,Kuna tatizo gani katika kizazi hiki ambalo linafanya kuwa vigumu kwa ndoa za wengi kudumu?Katika podi hii tunakupa uhondo wote wa kinachofanyika na kizazi hiki kuhusu ndoa na mahusiano.