- Katika podi hii sikiliza kuhusu jinsi baadhi ya watu huamua kuficha baadhi ya mambo waliofanya ya kale ambayo baadaye huwafuata katika uhusiano mpya na kuleta matatizo
- Kuna wanawake kwa mfano ambao huficha kwamba walikuwa na watoto kabla ya ndoa ama uhusiano au wanaume wanaoficha kwamba waliwahi kuwa na mke
Kabla ya kuanza uhusiano ama kujiingiza katika ndoa unafaa kujua vi vitu gani kuhusu kaisha yako ya hapo mbeleni ambavyo hufai kumfiocha mwenzako ili usije ukajipata katika mgogoro mkubwa baadaye .
Kabla ya kuanza uhusiano ama kujiingiza katika ndoa unafaa kujua vi vitu gani kuhusu kaisha yako ya hapo mbeleni ambavyo hufai kumfiocha mwenzako ili usije ukajipata katika mgogoro mkubwa baadaye . Katika podi hii sikiliza kuhusu jinsi baadhi ya watu huamua kuficha baadhi ya mambo waliofanya ya kale ambayo baadaye huwafuata katika uhusiano mpya na kuleta matatizo . Kuna wanawake kwa mfano ambao huficha kwamba walikuwa na watoto kabla ya ndoa ama uhusiano au wanaume wanaoficha kwamba waliwahi kuwa na mke
Katika podi hii sikiliza kuhusu jinsi baadhi ya watu huamua kuficha baadhi ya mambo waliofanya ya kale ambayo baadaye huwafuata katika uhusiano mpya na kuleta matatizo . Kuna wanawake kwa mfano ambao huficha kwamba walikuwa na watoto kabla ya ndoa ama uhusiano au wanaume wanaoficha kwamba waliwahi kuwa na mke