Makali ya 'Njaanuary',je ni kweli mwezi huu ni mrefu?

Mwaka wa 2021 kufikia sasa ni yepi unayolenga kufanya tofauti#Podiya YusufJuma

Wengi walitesa sana mashambni lakini sasa wanakumbana na matatizo pekee yao

Muhtasari

  •  Ulifaa kujipanga mapema ili kuepuka makali ya mwezi huu 
  •  Maazimio yako yanafaa kuwa yanayoweza kutekelezwa 

Mwezi wa kwa kwanza wa 2021 unapokaribia kutamatika ,tunakueleza baadhi ya kinachofanyika kiuchumi katika mifuko ya watu binafsi na jinsi baadhi ya wengine hawatikiswi na makali ya Januari .Je ulifaa kujipanga kwa njia gani?

 Katika podcast hii tunakueleza kuhusu makosa waliofanya watu wengi mwezi disemba mwaka jana kuhusu matumizi ya fedha na jinsi wanavyokumbwa na matatizo ya kifeha wakati huu .  Pia tunazungumza kuhusu jinsi ya kuweka maazimio unayoweza kuyatekeleza na namna ya kufanikisha ndoto zako  -hatua kwa hatua