- Hata hivyo visa ni vingi tu kuwahusu watu ambao walionekana kuonewa kuhusu kiasi cha mahari iliyoitishwa na jamaa za wenzao wa kike.
- Ama je,wanawakepia wanaweza kuanza kuwalipa wanaume mahari?
Ulipaji mahari ni mjadlaambao umezua hsia mbalimbali na ni utamaduni wa tangu jadi katika jamii za kiafrika .Hata hivyo visa ni vingi tu kuwahusu watu ambao walionekana kuonewa kuhusu kiasi cha mahari iliyoitishwa na jamaa za wenzao wa kike.
Kunacho kisa cha mwanamme mmoja aliyeamua kukwepa kutoka sherehe ya kulipamahari na kuwaacha wanyeji wake hoi wasijue amekwenda wapi kumbe hakufurahia pesa walizokuwa wakiitisha .
Ulipaji mahari ni mjadlaambao umezua hsia mbalimbali na ni utamaduni wa tangu jadi katika jamii za kiafrika .Hata hivyo visa ni vingi tu kuwahusu watu ambao walionekana kuonewa kuhusu kiasi cha mahari iliyoitishwa na jamaa za wenzao wa kike.Kunacho kisa cha mwanamme mmoja aliyeamua kukwepa kutoka sherehe ya kulipamahari na kuwaacha wanyeji wake hoi wasijue amekwenda wapi kumbe hakufurahia pesa walizokuwa wakiitisha .Katika Podi hii mimi na mwenzake Mutala Mukosia tunajadili iwapo wakati umewadia kwa wazazi wa pande zote mbili wanafaa kujukumika katika kuchangia ulipaji wa mahari.Ama je,wanawakepia wanaweza kuanza kuwalipa wanaume mahari?
Katika Podi hii mimi na mwenzake Mutala Mukosia tunajadili iwapo wakati umewadia kwa wazazi wa pande zote mbili wanafaa kujukumika katika kuchangia ulipaji wa mahari.Ama je,wanawakepia wanaweza kuanza kuwalipa wanaume mahari?