Talaka ya Uhuruto

Rais Uhuru na DP Ruto wavua glavu- Uhuru amtaka Ruto ajiuzulu#PodiyaYusufJuma

Rais na naibu wake wamekuwa wakielekea katika njia tofauti kwamuda wa miaka 2 sasa

Muhtasari
  •  Kulikuwa na matumaini ya kuwapatanisha viongozi hao wawili 
  •  Ruto  alitaraji kuungwa mkono na Rais wakati muhula wake utakapotamatika 2022 

 

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wameondoa glavu katika minono yao na kuanza kutupiana cheche hadharani na kumaliza kabisa uwezekano wao kupatanishwa kisiasa

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wameondoa glavu katika minono yao na kuanza kutupaiana cheche hadharani na kumaliza kabisa uwezekano wao kupatanishwa kisiasa . Katika Podi hii tunajadili laana ya siasa za Kenya ya kuwepo migawanyiko katika kila utawala baada ya uchaguzina viongozi kuungana na kuunda serikali .

 

Katika Podi hii tunajadili laana ya siasa za Kenya ya kuwepo migawanyiko katika kila utawala baada ya uchaguzina viongozi kuungana na kuunda serikali .