Mahusiano

Mbona imekuwa vigumu kwa vijana wa siku hizi kudumu katika mahusiano ama ndoa?#Podiyayusufjuma

wavulana wanawalaumu wasichana nao wasichana wanawalaumu wavulna kwa hali hiyo

Muhtasari

 

  •  Vijana wengi wanakosa uvumulivu wa kusalia katika mahusiano 
  •  Wengi wameamua kusalia single baada ya kupitia mambo yasiofurahisha katika mahusiano 

 

 

Katika podi hii leo tunazungumzia kuhusu hali ya sasa ambapo vijana wengi wanapata ugumu kusalia katika mahusiano kwa muda mrefu .

 

 

Katika podi hii leo tunazungumzia kuhusu hali ya sasa ambapo vijana wengi wanapata ugumu kusalia katika mahusiano kwa muda mrefu .Wavulana kwa wasichana wanatupiana lawama kuhusu wanaovuruga mahusiano na kufanya watu wengi kutosalia katika mahusiano kwa muda mrefu au hata kwa kipindi cha kudumu .Je tatizo ni jipi?

Wavulana kwa wasichana wanatupiana lawama kuhusu wanaovuruga mahusiano na kufanya watu wengi kutosalia katika mahusiano kwa muda mrefu au hata kwa kipindi cha kudumu .Je tatizo ni jipi?