Valentines':Podi ya Yusuf Juma

Siku ya Valentine's ina maana gani kwako? Unawezaje kumuonyesha mwenzio unampenda?#PodiyaYusufJuma

Iwapo ni siku ya kawaida kwako basi pia na iwe hivyo ulivyopanga

Muhtasari
  •  Siku ambayo huwa ya wapedanao huzaa sakata nyingi mwishowe 
  •  Kuna wasioamini kwamba panafaa kuwa na siku maalum ya kuonyesha mapenzi 

Leo tarehe 14 februari ni siku ya Wapendanao na patazuka sakata baada ya siku ya leo kwani kuna watakaotoa vijisababu kuhusu siku hii na hata kuna wanaojisahaulisha kuhusu siku ya Valentine's.

Leo tarehe 14 februari ni siku ya Wapendanao na patazuka sakata baada ya siku ya leo kwani kuna watakaotoa vijisababu kuhusu siku hii na hata kuna wanaojisahaulisha kuhusu siku ya Valentine's.Je kwako binafsi siku hii ina maana gani kwa uhusiano wako? Katika Podi hii tutaangazia njia unazoweza kuiadhimisha siku hii ya wapendanao bila kugharamika ama kulaumiwa kwa kutofanya lolote.Iwapo ni siku ya kawaida kwako basi pia na iwe hivyo ulivyopanga

 

Je kwako binafsi siku hii ina maana gani kwa uhusiano wako? Katika Podi hii tutaangazia njia unazoweza kuiadhimisha siku hii ya wapendanao bila kugharamika ama kulaumiwa kwa kutofanya lolote.Iwapo ni siku ya kawaida kwako basi pia na iwe hivyo ulivyopanga