Podcast

Kufichwa na mpenzi wako- je inafaa ama ni dalili ya kuhadaiwa?+Podi ya Yusuf Juma

Kufichwa ni ishara ya hila ama nia mbaya kwa upande wa mwenzako

Muhtasari

 

  •  Wengi wanaowaficha wapenzi wao wapo katika uhusiano zaidi ya mmoja
  • Ni hatari sana iwapo mwenzako hajakutambulisha hata kwa rafiki au jamaa zake 
  •  Wanawake wakati mwingi ndio wanaojipata kama waathiriwa katika hali kama hizi 

 

 

Wakati mwingine unafaa kujiuliza mbona mpenzi wako hataki ijulikane kwamba mko pamoja.kuna sababu nyingi nzuri za watu kutaka kuyaficha mahusiano yao lakini unafaa kuwa mwangalifu kwa sababu huenda pia kuna hila ktika uamuzi kama huo.

Wakati mwingine unafaa kujiuliza mbona mpenzi wako hataki ijulikane kwamba mko pamoja.kuna sababu nyingi nzuri za watu kutaka kuyaficha mahusiano yao lakini unafaa kuwa mwangalifu kwa sababu huenda pia kuna hila ktika uamuzi kama huo

 

  Katika podi hii tunajadili ujanja wa baadhi ya watu kuweka siri mahusiano yao kumbe  wanatumia usiri huo kujihusisha katika mahusiano mengine ya pembeni