Muhtasari
- Hakuna mmea unaozaa mafao bila kupaliliwa
- Ndoa ni kama mmea unaohitaji kunyunyuziwa maji kila mara
Katika Podi ya leo tunajadili mambo ambayo wanandoa mnaweza kuyafanya kuhakikisha kwamba makali na moto katika ndoa yenu unasalia kuwepo. Mazoea na kufanya kila jambo kwa njia moja kwa muda mrefu ndio badhi ya mambo ynayoweza kupunguza makali ya utamu wa ndoa
Leo tunakupa siri za jinsi ya kuhakikisha kwamba mvuke unazidi kutoka licha ya kasi na uchovu wa muda katika mahusiano au ndoa