Single mother: Yote unayofaa kujua kuhusu kuwalea watoto wako pekee yako+Podi ya Yusuf Juma

single mother
single mother
Iwapo wewe ndiye mzazi wa pekee wa wanao au unapanga kuwalea wanao pekee yako kama mwanamke au mwanamme kuna mambo ambayo unafaa kuyafahamu .

Katika podi hii tunakupa mwongozo wa kila hatua unayofaa kuchukua kuhakikisha kwamba unafanikiwa kuwalea wanao pekee yako kama mzazi wa pekee . Sio wengi hupenda kuwalea watoto wao pekee yao bila baba ama mama lakini wakati mwingine kuna sababu ibuka zinazowafanywa kusalia wazazi wa pekee wa watoto wao .Mwongozo huu utawafaa .Sio rahisi kwa mwanamke kuwalea watoto wake pekee yake kwa sababu kuna mambo mengine yanayohitaji usaidizi kama vile watakapotimu umri huo .

Mtindo wa watu kuwalea wanao bila usaidizi wa wenzao kama vile wanawake kuwalea watoto wao pekee yao ni jambo ambalo sasa jamii imeanza kulikubali na lipo sasa kwa wingi ,hapatakuwa na madhara iwapo kila mwanamke atafahamu jinsi anavyoweza kuwatunza watoto wake bila usaidi wa mwanamme aliyempa mtoto au watoto hao . Pia sikiza iwapo kuna umuhimu kwako kufanya kufahamu iwapo mtoto ni wako   podi nyingine kuhusu  mambo ambayo .