- Fahamu unavyoweza kuanza kuzungumza na mwanamme
- Usawa wa kijinsia umemaanisha kwamba wawake wanajipata katika mstari wa mbele katika kila jambo
- Katika Podkast hii fahamu mwongozo unaoweza kuufuata
Kunao msemo kwamba anayeuliza ni mjinga wa dakika tano lakini anayekosa kuuliza atasalia mjinga maisha yake yote .Ndio usemi ambao unafaa kukupa taswira ya jinsi mambo yatakavyokuwa endapo kama mwanadada utapatwa na woga wa kuwa wa kwanza kuzungumza na mwanamme ambaye umevutiwa naye .

Katika hali ya kawaida na kutokana na mazoaea au mila na desturi , inafahamika kwamba mwanamme ndiye humtongoza mwanammke ,lakini usasa na kubadilika kwa mambo pamoja na teknolojia ni mambo ambayo yamesAwazisha uwanja na wanawake sasa wanapata ujasiri wa kuwakaribia wanaume na hata kuanza mchakato wa kuwajua na hata kuwatongoza .
Je ,ni vipi unavyoweza kuwa wa kwanza ‘kutupa mistari’ na kufaulu ?