Serikali kutumia shilingi bilioni 1.9 kutengeza madawati ya wanafunzi,je mradi huu unafaa?+Podi ya Yusuf Juma

wednsday
wednsday
Maswali yameibuka iwapo serikali imefanya sawa kuanzisha mradi wa kutengeza madawati kwa wanafunzi kutumia shilingi bilioni 1.9 ilhali kuna shule ambazo hazina madarasa na wanafunzi wanasomea katika mazingira duni  na hata hatari .

Kunao wanaosema pesa hizo zingetumiwa pia kuwapa wanafunzi wa kike vitambaa vya hedhi .

Kuna wadadisi wanaosema pesa hizo zingetumiwa kufanikisha hata mpango wa chakula kwa wanafunzi au kuboresha miundo msingi shuleni kabla ya kuzitumia kuunda madawati.Katika Podi hii tunaangazia iwapo mradi huo ulijiri wakati ufaao ama ni  ishara nyingine ya utumizi mbayawa pesa