Maeneo ambayo mvua kubwa inatarajiwa kunyesha kati ya Aprili 24-Mei 1

Wakenya wameonywa kuhusu kuendelea kunyesha kwa mvua katika maeneo mbalimbali nchini

Muhtasari

•Baadhi ya maeneo ambayo yataathirika ni ukanda wa Ziwa Victoria, Kusini Mashariki, Pwani, bonde la Ufa, miongoni mwa mengine.

Maeneo ambayo mvua zinatarajiwa kuwa nyingi
Maeneo ambayo mvua zinatarajiwa kuwa nyingi