Wakenya waonywa kuhusu mvua zaidi

Bwana Gikungu pia alitoa ripoti iliyoonyesga viwango vya mvua katika maeneo tofauti mjini Nairobi.

Muhtasari

•Wakenya wameaonywa kujiandaa kwa mvua kubwainayoweza kung’oa miti na kusababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi.

Image: BBC

Mkurugenzi wa Mamlaka ya hali ya anga nchini Kenya David Gikungu amewaonya Wakenya kujiandaa kwa mvua kubwa ambayo inaweza kung’oa miti na kusababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi.

Bwana Gikungu pia alitoa ripoti iliyoonyesga viwango vya mvua katika maeneo tofauti mjini Nairobi.

Alisema baadhi ya maeneo yatapokea mvua kidogo hali ambayo anasema huenda ikasababisha maporomo ya ardhi.