Boy Child Beware !Sikiza wanavyopanga wanawake kuhusu mambo ya sponsor+Podi ya Yusuf Juma

sponsor
sponsor
Mambo ya mitandao na ‘kuchanuka’ yamefanya uwanja kusawazishwa  baina ya wanawake na wanaume na kwenye uwanja huu hakuna asiyejua mwingine anapanga nini au anafikiriaje .

&t=3s

Daku daku za hapa na pale mitandaoni ,zinafchua kwamba kuna mwongozo ambao wasichana wanaotumiwa kama wapenzi wa pembenei wanavyofaa kujihusisha katika mahusiano na Katika Podi hii leo tunakufichulia maazimio hayo ya wanawake kama  walivyochapisha katika kundi moja la siri la facebook ambamo wanasema kila yanayowahusu .

Kwa mfano ,wanasema iwapo mwanamke hajui mtoto ni wa nani kati ya masponsor wake ,basi moja kwa moja mtoto ni wa yule ambaye ni tajiri ,yule ambaye ni mtanashati ni kwenda naye shopping ilhali yule maskini aliye na lolote ndiye atakayempa mtoto mapenzi !