Anasomea Masters

Masaibu ya Dennis Ogola ambaye ana kisomo cha juu lakini kazi hajapata,anauza mayai+Podi ya Yusuf Juma

Tayari ana Digrii na cyeti kadhaa vya Diploma

Muhtasari

 

  •  Dennis amekuwa akitafuta kazi kwa miaka kadhaa bila mafanikio 
  • Amelazimika kuanza kuuza mayai yaliyochemshwa

 

Dennis Ogola  ni jamaa mwenye umri wa miaka 33 na upole  wake anapofanya kazi yake ya kuchuuza mayai yaliyochemshwa unaweza kukufanya ufikiri ameridhika na anachofanya.

 Ndani ya upole wake ,amebeba fikra nzito nzito za jinsi  maisha  yamemgeukia kuwa mzigo mzito na  kumsononesha kwa sababu Ogola   Digrii ya uagizaji na mauzo kutoka chuo kikuu cha Nairobi na  kwa sasa anasomea Masters  ya usimamizi na utawala wa kibiashara . Maisha kwake yamekuwa na panda shuka nyingi na matarajio yake yalikuwa yamempa afueni kwamba siku moja ataweza kuishi bila kulazimika kuhangaika .

Dennis Ogola ni jamaa mwenye umri wa miaka 33 na upole wake anapofanya kazi yake ya kuchuuza mayai yaliyochemshwa unaweza kukufanya ufikiri ameridhika na anachofanya. Ndani ya upole wake ,amebeba fikra nzito nzito za jinsi maisha yamemgeukia kuwa mzigo mzito na kumsononesha kwa sababu Ogola Digrii ya uagizaji na mauzo kutoka chuo kikuu cha Nairobi na kwa sasa anasomea Masters ya usimamizi na utawala wa kibiashara . Maisha kwake yamekuwa na panda shuka nyingi na matarajio yake yalikuwa yamempa afueni kwamba siku moja ataweza kuishi bila kulazimika kuhangaika .