Ulioa bila kupanga?

Alikatalia kwa nyumba yangu na tukaanza kuishi kama mume na Mke+Podi ya Yusuf Juma

Visa ni vingi vya ndoa zilizoanza bila mpangilio

Muhtasari
  •  Kuna waliofanya mpango ,uchumba na kadhalika hadi kuamua kufunga ndoa 
  •  Lakini kunao waliojipata tu katika hali ya kuanza maisha katika ndoa bila kupanga 

 

Yusuf Juma na Mutala Mukosia

 Katika Podi ya leo sikiliza jinsi watu walivyojipata katika ndoa bila mpango .  Jamaa amefichua jinsi mwana dada alivyokatalia katika nyumba yao akifikiri ni mzaha kumbe kweli alikuwa  amemba virago vyake vyote na kuhamia  pale kama mke .Na hapo ndipo safari yao kama mume na mke ilivyoanza 

Shirikiana,Wasiliana,Ungana au tangamana na Yusuf Juma Facebook:Yusuf Juma/Yusuf Juma-Kenya Instagram:@yusufjumaofficial Twitter:@YusufJumaKenya Email:yusufjuma86@gmail.com Youtube:Yusuf Juma-Kenya

 Jamaa alifikiri ilikuwa mzaha kwamba mwana dada amebeba nguo zake zote ili kuhamia kwake kumbe alikuwa ashafanya uamuzi wa kuolewa bila uhusiano ,wala posa .