Ndoa

Mbona vijana wa kisasa wanaogopa ndoa?+Podi ya Yusuf Juma

Wengi wanasema wangoja wapenzi 'wanaofaa' kuja maishani mwao

Muhtasari

 

  •  Ndoa imekuwa ikiepukwa kama ukoma 
  • Wengi wanahofia kujitosa katika ndoa kwa sababu mbali mbali 

 

Podi:Yusuf Juma na Mutala Mukosia
Image: Yusuf Juma

 Katika Podi hii ,tunajadili hofu kubwa miongoni mwa vijana kuhusu kuanza maisha ya ndoa . wengi wametoa sababu nyingi baadhi yazo ni halali lakini nyingine ni za kuchekesha .

 Kunao wanaogopa gharama ya juu ya maisha na kuna wanaosema kwamba  baada ya kushuhudia ndoa nyingi zikivunjika hawana haraka ya kujitosa katika maisha ya Ndoa

Katika Podi hii tunajadili jinsi vijana wa kisasa wanahofia sana maisha ya ndoa . watu wanataka kuishi na wenzao lakini sio kwa msingi wa kudumu kwa sababu nyingi na nyingine za kushangaza