26 October 2020 1 Min Read
Anasomea Masters
Masaibu ya Dennis Ogola ambaye ana kisomo cha juu lakini kazi hajapata,anauza mayai+Podi ya Yusuf Juma
Tayari ana Digrii na cyeti kadhaa vya Diploma
In Summary
- Dennis amekuwa akitafuta kazi kwa miaka kadhaa bila mafanikio
- Amelazimika kuanza kuuza mayai yaliyochemshwa
Dennis Ogola ni jamaa mwenye umri wa miaka 33 na upole wake anapofanya kazi yake ya kuchuuza mayai yaliyochemshwa unaweza kukufanya ufikiri ameridhika na anachofanya.
Ndani ya upole wake ,amebeba fikra nzito nzito za jinsi maisha yamemgeukia kuwa mzigo mzito na kumsononesha kwa sababu Ogola Digrii ya uagizaji na mauzo kutoka chuo kikuu cha Nairobi na kwa sasa anasomea Masters ya usimamizi na utawala wa kibiashara . Maisha kwake yamekuwa na panda shuka nyingi na matarajio yake yalikuwa yamempa afueni kwamba siku moja ataweza kuishi bila kulazimika kuhangaika .
The video could not be loaded.