Katika Podi ya leo tunajadili ni muda upi ambao watu katika uhusiano mpya wanafaa kuamua kwamba wakati umewadia kujuana kimwili .Inafahamika kwamba inahitajika watu kungoja hadi wakati wanapofunga ndoa ,lakini tusidanganye kwa sababu yanafanyika haya bila uthibiti na muda ni bora kuzungumza kuhusu hilo
The video could not be loaded.
Katika uhusiano mpya mtu anafaa kumaliza muda gani kabla ya kufanya tendo la ndoa? Leo katika podi tunajidili hilo