In Summary
- Iwapo katika ndoa hamfichani lolote au hakuna anayefanya mabaya huko nje ,hamna haja ya kuificha simu yako ili mwenzako asione jumbe
- Hadi leo kuna visa vingi ambavyo marafiki ,jamaa katika familia na hata viongozi wa kidini wanapatanisha wana ndoa kuhusu mambo ya kuichukua simu ya mwenzio ili kutaja kujua yaliyomo