In Summary
  • Ni nadra sana kumpata mwanamume ambaye anakiri kwamba yeye ni bikira, na hajawahi kumchumbia mwanamke ata mmoja katuka karne hii ya sasa
Mbusi na Lion

Kuku waiwa wengi wanamwaya mtama, siri zkiwashinda kuwaeka na kuwachoma wanatoboa kwenye kitengo cha toboa siri.

Ni nadra sana kumpata mwanamume ambaye anakiri kwamba yeye ni bikira, na hajawahi kumchumbia mwanamke ata mmoja katuka karne hii ya sasa.

Katika kitengo cha toboa siri siku ya JUmatano jamaa mmoja aliwaacha mashabiki a Radiojambo midomo wazi na kuwaza mengi baada ya kukiri kwamba yeye ni bikira na hajawahi mchumbia mwanamke hata mmoja licha yake kuwa na pesa nyingi.

Kulingana na mwanamume huyo ana miaka 23, na wala hajawahi soma katiba tangu kuzaliwa kwake

Hii hapa siri yake;

"Nina miaka 23, tangu kuzaliwa kwangu sijawhi soma katiba ya mwanamke hata mmoja, nataka kumaanisha mimi ni 'virgin' bado, ndio nina pesa lakini mistari ninayo ya kumpenda mwanamke lakini mimi ni virgin

Nahitaji ushauri kutoka kwa wanajambo, nifanye aje nizidi kukaa hivyo au nifanye aje, kwa maana sijawahi onja asali."

View Comments